Recent content by Frajoo

  1. Frajoo

    SoC04 Maboresho kwenye Sekta ya Utalii ili kuendana na Ongezeko la Watalii nchini

    Dibaji. Sekta ya utalii ni sekta inayoongoza kwa kuingiza mapato nchini kwa miaka mingi sasa,na ni moja ya Sekta zinazokua kwa kasi.Kutokana na utajiri wa vivutio vya utalii tulivyonavyo nchini inakadiriwa takribani watalii Milioni 1.4 kwa mwaka huja Tanzania,kwa mujibu wa tafiti. Aidha Rais...
  2. Frajoo

    SoC04 TASAF ianzishe benki ya maendeleo ya jamii

    Utangulizi. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilianza kutekeleza mradi wa mfuko wa maendeleo ya jamii yaani Tasaf, kuanzia mwaka 2000.Lengo ni kutokomeza umasikini kwa wananchi. Mpango ukawa ni kujenga kinga ya jamii kiuchumi,na katika katika maboresho ilipofika mwaka 2012 kama...
  3. Frajoo

    SoC04 Wenye elimu ya msingi wasigombee nafasi za Ubunge

    Shukrani Kaka kwa pongezi .🙏🏾
  4. Frajoo

    SoC04 Wenye elimu ya msingi wasigombee nafasi za Ubunge

    Dibaji. Maisha ya Tanzania kwa miaka 30 nyuma hayalingani hata kidogo na maisha ya sasa katika kila eneo, iwe kimazingira, kiuchumi, kielimu, kiteknolojia, mitindo ya maisha na kilakitu.Na hii ni kwa dunia nzima, ndio maana kuna kitu kinaitwa historia, tafsiri yake ni kwamba maisha hubadilika...
  5. Frajoo

    SoC04 Kutoa ufadhili wa masomo na mafunzo ya michezo na sanaa nje ya nchi kwa watoto wenye vipaji

    Salamu Mabibi na Mabwana; Dibaji. Sekta ya michezo ni moja ya Sekta zenye uwezo wa kujiendesha zenyewe kwa asilimia kubwa,kupitia namna ambavyo zinaingiza mapato makubwa na inazalisha fursa nyingi za biashara dunuani kote. Tunapozungumzia michezo yenye msisimko na ushabiki mkubwa zaidi...
  6. Frajoo

    SoC04 Mtaala bora wa elimu hujenga taifa imara

    MTAALA BORA WA ELIMU HUJENGA TAIFA IMARA. DIBAJI. Katika taifa letu kuna ongezeko kubwa la vijana wasio na kazi, wengi wakiitupia lawama serikali kwa uchache wa nafasi za ajira rasmi zinazotolewa,hasa tukilinganisha na idadi ya wahitimu wa elimu ya juu na kati kwa kila mwaka.Hio imepelekea...
  7. Frajoo

    SoC04 Tanzania yenye urahisi wa upatikanaji wa huduma bora za afya vijijini

    Shukrani sana ndugu katika imani🙏🏾
  8. Frajoo

    SoC04 Tanzania yenye urahisi wa upatikanaji wa huduma bora za afya vijijini

    Salamu; Moja ya sekta nyeti inayogusa kila mwananchi ni sekta ya Afya, lakini ndio sekta isiyojitosheleza zaidi kwa miaka mingi hususani maeneo ya vijijini.Natambua juhudi za Serikali za awamu zote katika kuongeza idadi ya vituo vya Afya vijijini na mijini pamoja na kujitahidi sana kuingiza...
  9. Frajoo

    SoC04 Hatma ya wastaafu

    Baada ya kutumikia umma kwa miaka mingi na kufikia umri wa miaka Sitini, mfanyakazi alitoa mchango kwa taifa letu huitwa mstaafu. Anaacha kazi na kurudi kwenye jamii akiwa hoi kama sio hai ya kusuasua. Japo sina ufahamu mkubwa kuhusu sheria taratibu na kanuni za utumishi wa umma, hivyo pengine...
  10. Frajoo

    SoC04 Suluhisho la tatizo la ukosefu wa ajira rasmi kwa vijana

    SULUHISHO LA TATIZO LA UKOSEFU WA AJIRA RASMI KWA VIJANA NCHINI TANZANIA. Ndoto ya kila mzazi au mlezi ni kuona kijana anapata ajira rasmi mara tu anapohitimu masomo yake.Huku ajira ya serikalini ndio lengo kuu.Pia inachochea maendeleo kwa taifa kuajiri vijana wenye ufahamu wa ujuzi mpya...
  11. Frajoo

    SoC04 Mapokeo ya teknolojia kwa wananchi huathiri maendeleo

    Akili bandia (Artificial Intelligence.) Habari! Kila zama kuna bunifu kubwa zinafanyika duniani ili kurahisisha maisha ya mwanadamu na mazingira yake kama siyo kutatua changamoto zinazomkabili mwanadamu. Tumeshuhudia bunifu zilizopita jinsi zilivyotusaidia ,kwa mfano Ugunduzi wa moto na...
Back
Top Bottom