Recent content by Fr snow

  1. F

    JamiiForums Tangu wakwe wamekuja, wife ananinyima unyumba

    Msaada naohitaji ni kukuoa wewe, ukikubali nikuoe nitashukuru sana
  2. F

    JamiiForums Tangu wakwe wamekuja, wife ananinyima unyumba

    Mama, sasa miezi yote miwili tutaenda hotel na ninavyowajua inaweza kuzidi hapo
  3. F

    JamiiForums Tangu wakwe wamekuja, wife ananinyima unyumba

    Wakuu, Mara ya mwisho nilikuja kwenu nikiwa na tatizo la mchepuko wangu kuwa na matumizi makubwa sana yanayozidi uwezo wangu na ukorofi Wa wife uliopita kipimo.Mchepuko niliamua kuupiga chini na kuamua kuwa muadilifu.Sasa wiki iliyopita wazazi wa mke wangu wamekuja kutusalimia na kupumzika kwa...
  4. F

    JamiiForums Mke na mchepuko wamenishinda nataka kuwakimbia, maji yamenifika shingoni

    Wakuu, Mimi ni baba wa watoto wawili, ni mhasibu na ndoa yangu ina miaka saba. Mwaka 2007 mama yangu aliniletea mke kutoka nyumbani, ni binti wa mzee mmoja rafiki kipenzi wa baba yangu na ni jirani zetu. Mwaka 2008 tukafunga ndoa rasmi kanisani. Mwaka mmoja baadae akaanzisha tabia ya...
Back
Top Bottom