Recent content by FPN

  1. FPN

    Umuhimu wa CBET kwenye mitaala yetu ya kielimu

    Kwanini ni muhimu mitaala yetu ya elimu inatakiwa kujikita zaidi kuhusu applications na si kukariri mambo chukua mfano huu👉 Tafuta aluminium foil/tin foil, kwa lugha nyepesi foil yoyote Ile mfano ya kufungia chips au chakula chochote (nzuri ni Ile iliyokua coated pande zote mbili), ukishaipata...
  2. FPN

    Tathimini yangu juu ya uokoaji wa kwenye jengo lililo dondoka Kariakoo

    Shukrani kwa niaba, pole nyingi pia zimuendee Rais wa nchi Mama SSH
  3. FPN

    Tathimini yangu juu ya uokoaji wa kwenye jengo lililo dondoka Kariakoo

    Nashukuru kwa kuliona Hilo, huwezi amini kichwa Cha habari ya Uzi wangu huu niliweka K'KOO INCIDENT baada ya muda nikashangaa kimebadilika chenyewe kinasomeka Kama unavyokiona, kwamba ni controllers wa JF ndo wamebadili au ni Nini? Ngoja watu wa IT watatuthibitishia hili, of course nililiona...
  4. FPN

    Tathimini yangu juu ya uokoaji wa kwenye jengo lililo dondoka Kariakoo

    Ndo hivyo sijui walitaka waone kitambo mizito mizito utadhani Ile zone ilikua ni GTI
  5. FPN

    Tathimini yangu juu ya uokoaji wa kwenye jengo lililo dondoka Kariakoo

    Ndugu yangu Mcharo, hakuna nchi duniani isiyofanya Military Exhibition. Sema linapokuja suala la Threat Matrix (TM) husika. Basi Kuna taratibu zake, pale hawavunji mawe Kama kwenye Yale maonesho, Kuna protocols zilikua zinafuatwa!
  6. FPN

    Tathimini yangu juu ya uokoaji wa kwenye jengo lililo dondoka Kariakoo

    We acha tu ndugu yangu, humu ndani tuna watu wa ajabu mno!! Hapo ningetukana ule upande wasioupenda wao kwa kiingereza, wangekielewa kiingereza na ungekuta wamenisifia humu mpaka basi yaaaaan.
  7. FPN

    Tathimini yangu juu ya uokoaji wa kwenye jengo lililo dondoka Kariakoo

    Umeona Sasa mawazo yako....! Kwenye post yangu Kuna sehemu niliyosema Mimi ni CCM, humu ndani ili uwe kijana makini lazima uwe wa kupinga Pinga kila kitu? Ngoja nikwambie watu wa Mkoa wa Mara tunatoa watu Imara, ambao tuna uwezo wa kugeuza Nyakati ngumu na kuzifanya kuwa Nyakati rahisi, halafu...
  8. FPN

    Tathimini yangu juu ya uokoaji wa kwenye jengo lililo dondoka Kariakoo

    Kawaida lazima pawepo na watu waliokufa katika stage za awali kwa kuangukiwa na vitu, ni ngumu kuvizuia vifo hivyo ia vifo hivyo Kawaida lazima pawepo na watu waliokufa katika stage za awali kwa kuangukiwa na vitu, ni ngumu kuvizuia vifo hivyo ia vifo hivyo
  9. FPN

    Tathimini yangu juu ya uokoaji wa kwenye jengo lililo dondoka Kariakoo

    Siyo kila kitu cha kuweka public inategemea na Threat Matrix (TM) husika, Kuna mambo ya kitaalam mkuu.
  10. FPN

    Tathimini yangu juu ya uokoaji wa kwenye jengo lililo dondoka Kariakoo

    你好很高兴认识你(hello nice to meet you) me hata kichina nasongesha mkali, siyo kiingereza Cha kuunga unga tu, 欢迎光临
  11. FPN

    Tathimini yangu juu ya uokoaji wa kwenye jengo lililo dondoka Kariakoo

    Kwahiyo wasipate posho? Hujui walipotoka wameacha familia zao. Hivi unajua subsistence allowance ww?
  12. FPN

    Tathimini yangu juu ya uokoaji wa kwenye jengo lililo dondoka Kariakoo

    Hawa tunasema nao tu, uzuri nna sifa zote za choleric&sanguine. Wakija kwa hasira naruka nao, wakija kwa nidhamu then nakua paroko😂😂😂
  13. FPN

    Tathimini yangu juu ya uokoaji wa kwenye jengo lililo dondoka Kariakoo

    Ila humu ndani 😂😂😂😂, basi tufanye mtu wa Mara ni wewe. Anecdotally(kwa bahati mbaya) Kwa kutumia neno UKOME kwa comment yako unaweza kuwa mtu wa Tanga wewe, kifupi mtu wa kutokea pwani yoyote Ile hapa TZ. This is veracious and unswervingly!!!!!
Back
Top Bottom