Recent content by Foreverfreed

  1. Foreverfreed

    GE2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

    MATAGA wana mawazo ya enzi ya kijima
  2. Foreverfreed

    Kilichomponza Magufuli: Hakuchukua hatua kwa waliohusika na mauaji, watekaji na waliopotezwa

    Akitoka madarakani Kinga ya kutoshtakiwa iondolewe na uchunguzi ufanyike kwa kuwa ana tuhuma nyingi na ashtakiwe mahakanmani.
  3. Foreverfreed

    It is called ‘subterfuge’

    Hey,hii kiinglishi nimekumbuka Ni verse flani za Jana state house magogoni
  4. Foreverfreed

    Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

    Hii yaweza kuwa account ya mtu mwenye jina la kilugha ambayo kwa kiswahili Lina tafsiri ya " njaa" according to jiwe.
  5. Foreverfreed

    GE2020 Kishindo kikubwa Musoma: Lissu apokelewa kama shujaa

    Nasikia yupo Dodoma kwa kikao Cha dharura na wakurugenzi ambao ndo watakaosimamia uchaguzi
  6. Foreverfreed

    GE2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

    Ni mbarali,siyo mbalali wewe utakuwa Ni wa Kanda pendwa ya mkubwa.
  7. Foreverfreed

    TANZIA Kamanda wa Polisi ACP Jonathan Shana afariki Dunia

    Pole kwa wafiwa,ila inaniuma ametuachia mfano mbaya wa if A=B=C=?
  8. Foreverfreed

    GE2020 Tundu Lissu: Tanzania haiwezi kuishi bila dunia ila dunia inaweza kuishi bila Tanzania

    Lakini usisahau kuwa tumekopa fedha nyingi za mabeberu kwa hi miaka 5 ya Magufuli
  9. Foreverfreed

    GE2020 Nitawashangaa sana wafuatao wakipigia kura CCM

    Acha uongo wewe,tuambie kiasi gani kimeongezwa,lini?
  10. Foreverfreed

    GE2020 Matarajio ya Lissu yalikuwa ni kuona Kampeni zinajikita kwenye vijembe na vurugu

    LB7 hufahamu kuwa vyombo vya habari vimetishwa na dikteta?
  11. Foreverfreed

    GE2020 Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...

    Umeanzisha uzi wako huu kwa kukurupuka,ungeuleta kesho baada ya chama cha wapiga spana(CCM)kuzindua kampeni zake kesho kwa kulinganisha jinsi TBCccm walivokuwa wanatangaza ufunguzi wa kampeni ya CHADEMa na hiyo yenu ya kesho.
Back
Top Bottom