Recent content by FOR SALE

  1. F

    Motor gate installation

    Nathan habari...! Kama hutajali....unaweza kututumia ni vitu gani hasa una deal navyo? Tumeona una deal na vitu vingi sana. FOR SALE - mtandao mkubwa wa Dealers (wauzaji, wanunuzi & wafuatiliaji) wa biashara mbalimbali. - FOR SALE -
  2. F

    Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Ndugu, Ushauri: Jiite / iite: Dodoma Messengers Tafuta vitu sio zaidi ya viwili vya ku deal navyo vikutambulishe: Kwenye Database yetu - tunakutambua kama mtu wa viwanja, kutafuta wapangaji maeneo ya Dodoma pia ni messenger. Shikilia moja yenye big returns ama mbili kama back up maisha ya...
  3. F

    CCTV Cameras Installation

    Hizi ndio mambo zetu sasa....uwe unatucheki
  4. F

    TECNO tumekuletea muonekano wa kipekee wa simu yetu ya mtiririko wa CAMON 19 PRO

    Mkiwa na ofa kwenye simu zenu tuchekiane tuwajuze wanetu wa ofa...... #Hatulipisana
Back
Top Bottom