Recent content by Footstep

  1. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kundi la kwanza kuandamana Dar Okt 29, 2025, walikuwa chama tawala. Namwelewa A. Migiro anapoomba chama kuwajibika

    Kauli aliyosema ni "CCM inawajibika Kwa yaliyotokea October 29 maana kilikuwa chama tawala wakati huo" Mengine ni maoni yangu binafsi kulingana na uhuru wa maoni nilionao kikatiba.
  2. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kundi la kwanza kuandamana Dar Okt 29, 2025, walikuwa chama tawala. Namwelewa A. Migiro anapoomba chama kuwajibika

    Kihunzi kikuu cha mwisho cdm kuvuka ni ule uchaguzi wa Lisu vs Mbowe Baada ya hapo, hakuna kikwazo kingine, ni mteremko tu
  3. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kundi la kwanza kuandamana Dar Okt 29, 2025, walikuwa chama tawala. Namwelewa A. Migiro anapoomba chama kuwajibika

    Ni kweli,Wala hakuwa katika chain of command wakati ule
  4. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kundi la kwanza kuandamana Dar Okt 29, 2025, walikuwa chama tawala. Namwelewa A. Migiro anapoomba chama kuwajibika

    Nani wa kuwachukulia hatua, Ni hii tume ya Lila, au cdf, au CCM wenye majeshi yote chini Yao?
  5. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwaka sasa umetimia vipi kiongozi wetu unajisikiaje huko?

    Yuko kifungoni, Hata mwanza tu haezi kwenda
  6. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ningekuwa Rais, 29/10/2026 ningelihutubia Taifa, nikaomba radhi kwa niaba ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama kukengeuka kipindi cha Uchaguzi Mkuu

    Kwa ssh Ni kosa kuwaza ninge..... Na kosa Hilo linastahili upewe jina baya upotezwe
  7. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kundi la kwanza kuandamana Dar Okt 29, 2025, walikuwa chama tawala. Namwelewa A. Migiro anapoomba chama kuwajibika

    Tatizo ni kubwa kuliko tulivyodhani Nimeshangaa kwakweli Kwamba nao wakahojiwe na tume
  8. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kundi la kwanza kuandamana Dar Okt 29, 2025, walikuwa chama tawala. Namwelewa A. Migiro anapoomba chama kuwajibika

    Kaongea CCM inawajibika Kwa yaliyotokea. Mengine niloandika ni maoni yangu
  9. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kundi la kwanza kuandamana Dar Okt 29, 2025, walikuwa chama tawala. Namwelewa A. Migiro anapoomba chama kuwajibika

    Kubaini ukweli kuhusu yaliyojiri Oct 29, Yahitajika tume huru Toka huko Kwa waliodtaarabika, Palikuwa na vitu vingi ndani ya maandamano
  10. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kundi la kwanza kuandamana Dar Okt 29, 2025, walikuwa chama tawala. Namwelewa A. Migiro anapoomba chama kuwajibika

    Nenda katafute mwenyewe, Amesema CCM inastahili kuwajibika Kwa yaliyotokea, Hayo kuhusu maandamano ni uelewa wangu tu wa darasa la saba. Nalindwa na haki ya kutoa maoni
  11. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kundi la kwanza kuandamana Dar Okt 29, 2025, walikuwa chama tawala. Namwelewa A. Migiro anapoomba chama kuwajibika

    Piga kelele unavyoweza ili ujitofautishe na damu, Ila usiue mtu ukaja fanana na wauwaji
  12. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kundi la kwanza kuandamana Dar Okt 29, 2025, walikuwa chama tawala. Namwelewa A. Migiro anapoomba chama kuwajibika

    Nawajua CCM Kwa fitna, Ataangushwa kirahisi sana, angalau angekuwa na akili nyingi angejaribu kukwepa, Ila Kwa Sasa imeshaisha iyo
Back
Top Bottom