Recent content by Focus Mbowe

  1. F

    JamiiForums Tanzania Membe: Kachero, Mwanadiplomasia mtata na rafiki wa wasomi, muendelezo sehemu ya 2

    Uzito wa unyoya huyu, hawezi kabisaaaa
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Kikwete mweledi pekee mchakato wa Katiba

    Lakini pamoja na yote ukawa wametuangusha kutoka bungeni, wangekomaa tusinge fikia hapa
  3. F

    JamiiForums Tanzania Askofu Ngalalekumtwa awataka Watanzania kuikataa Katiba Mpya

    Baba askofu alisema usiku au mchana maana inawezekana alikuwa mitungi. Ashughulike na yanayo muhusu, ya kaisari amwachie kaisari... Hiyo anayotaka yeye atoke kwanza kanisani kama ukawa walivyo toka bungeni.... Aache upuuzi.... Tumesha toa sadaka na zaka, ashughulike nazo, ya dunia atuachie wenyewe
  4. F

  5. F

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uwanja wa Jamhuri Dodoma: Rais Kikwete kukabidhiwa Rasimu ya Katiba Mpya

    Ukawa walitegemea nini wakatoka nje? Kama ni ushindi utaupataje wakati umekimbia eneo la vita, hawakupaswa kutoka, walitakiwa kupambana mle mle mjengoni, kwa hili wametuuza, tena wametuuza kwa bei ya mafungu
  6. F

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee hastahili 'kutendwa' vile

    Kuhakiki ni utaratibu wa kawaida kwa mahaka, inawezekn mjia tu yameandwa lkini hawakuwa na tarifa kuwa wao ni wadhamini, Acha upotoshaji
Back
Top Bottom