Recent content by flowerss

  1. flowerss

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kweli kabisa mwanaume gani hapa Duniani apindue kwa Irene?kila kitu anacho.mwache Mama J abane bane Irene yupo available
  2. flowerss

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kuna watu hawataki TuMpm Insider sijui kwa Sababu gani.Au Kuna ubaya kumpa mtu kule unakuwa huru zaidi maana Wanazengo tunawajua
  3. flowerss

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mbona keshafungua Pm na nimesema nilichotaka .Acheni Makasiriko walioweka Pm walikuwa naa maana kubwa Acheni kuumia
  4. flowerss

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Haaaaa haaaaaaa kumbe mama J yupo humu ndani na hamsemi?natania bana
  5. flowerss

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Inawezekana kirahisi?mbona aliwahi kumuuliza Insider Kama memjuaje Jane na Mambo kadhaa wewe ni hatari
  6. flowerss

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Sidhani Kama walioweka Pm walikosea walikuwa na maana NZURI tu.kina maswali ya.siri nataka kumuuliza kuhusu Jane
  7. flowerss

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kwa Nini umefunga pm yako hujui Kama mtu anaweza kuwa huru kule kukuulizia au kukuelezea jambo kwa uhuru kuliko hapa na hata Kama Hilo swali huralipenda si utalijibu tu bila shida...naomba unijibu
  8. flowerss

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kuna kitu nilisahau kumuuliza Insider. kuhusu mke wa Mzee Pama .Je alipogundua Mumewe kamjengea mchepuko Nyumba na mimba juu mapokeo yake yalikuwa tu positive mpaka mgawanto wa Mali keep sa ru yupo kwa Will au ilikuwaje?Mana Insider umepotray as if Yule ma Hakuna lililomshtua Tena michepuko...
  9. flowerss

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Wewe utakuwa ndo Prisca story inakera?? Umetumwa Usome?? Mastory yaliyojaa humu unasema story inakera are you crazy?????
  10. flowerss

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ushauri mbaya huu Iryne awe mke mama J awe Bonus
  11. flowerss

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Insider acha ushamba wako sisi tunajua ushavuka viwango vya kawaida na mtu labda anataka ushauri si anaweza kukuPm? Nini usichojua mpaka Sasa eti unafunga Pm ili iweje? Acha Roho ya hivyo ndugu yetu wewe au unatuona Manyani,?
  12. flowerss

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Yaani insider ALISEMA wkt Hana kitu siku zile anasoma Mama J alikuwa anampiga tafu Ila anesahau hata lyne kampiga tafu kuliko mama J Kama point kuu ndo Hiyo na wote Sasa watakuwa sare kwa.kuwa na mtoto naye.Ushauri awe.na Iryne kwenye Maisha Mama J atatusamehe Mana Insider Sasa ni wa viwango vya...
Back
Top Bottom