Recent content by Flores

  1. F

    Gharama za kupima breast cancer Ocean Road

    habari zenu jaman jana nliweka thread inayohusu maumivu ya titi la kulia so wadau wamenishauri niende nkachek ocean road km itakua cancer au la. me niko mkoani kwa yeyote anayejua gharama za kupima kwenye hiyo hospital pls naomba msaada ili nijue najipanga vipi maana hali yangu ya uchumi si...
  2. F

    Maumivu ya titi

    thanx kwa ushaur vp gharama zake zaweza kua zinaanzia shngapi
  3. F

    Maumivu ya titi

    nlienda dispensary then hospital moja hv inaitwa uyole hospital iko mbeya huku maarufu km sijabaje then nyingine inaitwa st gema iko dodoma kote sikupata jibu tatizo ninini ndo nataka niende huko ocean road km nlivyoshauriwa ila sijui ghrama zake nijipange kuanzia shngap
  4. F

    Maumivu ya titi

    hiv gharama inaweza kua kuanzia shngap jamn mana hali yangu ya uchumi si nzuri na tiba ni lazima niipate. so nijipange kuanzia shngapi
  5. F

    Maumivu ya titi

    mmh isije ikawa ni kansa so unanishauri niende moja kwa moja huko au niende nkacheki kwanza kwenye hospital za kawaida mana me nipo mkoani
  6. F

    Maumivu ya titi

    thanx itabidi nifanye hivyo
  7. F

    Maumivu ya titi

    thanx kwa ushaur ila nishaenda hospital karibia tatu ya kwanza alinambia mirija inayopitisha maziwa ina matatizo nkapewa dawa japo sijawah zaa wala kua na mimba nkaenda then nyingine better zaid ya ya kwanza wakanambia hakuna tatizo nkapewa dawa ya kutuliza maumiv ya tatu ndo nkachek na...
  8. F

    Maumivu ya titi

    Mi msichana miaka 25 nasumbuliwa na maumivu kwenye titi la kulia linauma nikilibonyeza upande wa kulia na nikilalia nahic ugumu flani hiv wa chuchu tofauti na jingine laweza kua tatizo gani mana halitoi chochote na halijabadilika rangi ila linamaumivu na hayo maumivu nikibonyeza km yako...
  9. F

    Maumivu ya titi

    Mi msichana miaka 25 nasumbuliwa na maumivu kwenye titi la kulia linauma nikilibonyeza upande wa kulia na nikilalia nahic ugumu flani hiv wa chuchu tofauti na jingine laweza kua tatizo gani mana halitoi chochote na halijabadilika rangi ila linamaumivu na hayo maumivu nikibonyeza km yako kwenye...
  10. F

    mwaka wa pili sasa!

    Usikate tamaa hauko peke yako me pia km wewe ni msichana miaka 25 na nimemaliza mwaka jana BBA bt mpk leo hata hapo pa kujishikiza tuu as intern sijawah pata na matokeo mazuri tuu upper second ila sijakata tamaa bado na naaply mpk basi naamini kua kuna siku nami ntapata kazi. nataka nikutie...
  11. F

    Msaada wadau

    thanx so much
  12. F

    Msaada wadau

    thanx so much
  13. F

    Msaada wadau

    nimetafta sana aisee naona maluwe luwe tuu ndomana nkaomba msaada mkuu
Back
Top Bottom