Recent content by flora fauna

  1. F

    JamiiForums Tanzania SCAM: Rifaro Africa, hii ni DECI nyingine?

    Kuna taarifa yao nimeona imesambaa mtandaoni kuwa wanashughuikia wanasheria wao tatzizo kwan hawajafungiwa ila ni code namba wanayotumia tuu imeleta utata
  2. F

    JamiiForums Tanzania SCAM: Rifaro Africa, hii ni DECI nyingine?

    Wadau salamu! Kuna hii kampuni ya kibiashara inajiita rifaro africa. Inafanya kazi through networking market.je naweza kupata utendaji wake zaidi? Maana jamaa zangu wananiambia ni source nzur ya income. Na wananishaur nijiunge ila nahisi hii sio deci type two? Ufafanuz wadau
Back
Top Bottom