Recent content by Flexi lady

  1. Flexi lady

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Chanika

    Hapana mkuu niko mbali na hilo eneo, so mtu anayepalinda pale upatikanaji wake ndio mgumu kupata picha za ndani
  2. Flexi lady

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Chanika

    16x22 metres
  3. Flexi lady

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Chanika

    Ok ngoja nitafute picha ya mbele
  4. Flexi lady

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Chanika

    Nyumba iko Chanika, Talian. Ina vyumba vitatu tayari vimesimama, sebule na dining bado. Msingi umeinuliwa wote. Karibu bei ni kitongq inaanzia milion 10 tu. Mwenyewe anarudisha gharama tu za ujenzi ana shida.
  5. Flexi lady

    JamiiForums Tanzania Sijutii kuacha kazi, Mshahara wa Tsh. 450,000 usingenitosha na majukumu niliyokuwa nayo

    Hongera sana mkuu kwa uthubutu. Unalima wapi mkuu?
  6. Flexi lady

    JamiiForums Tanzania Kwanini mitume na manabii huishiwa upako baada ya muda? Je, hizi pako zao ni za kweli au za mchongo?

    Kwa nini wewe usiende kuwauliza wenyewe mkuu, wao waijua siri.
  7. Flexi lady

    JamiiForums Tanzania Hivi ilikuwaje mpaka Chanika ikawa sehemu ya Dar es Salaam?

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]umenichekesha kweli
  8. Flexi lady

    JamiiForums Tanzania Hivi ilikuwaje mpaka Chanika ikawa sehemu ya Dar es Salaam?

    Kwa nini usiwaulize watu wa manispaa? Mbagala yenyewe ni mbali na ni Dar esalaam, Mbweni ni mbali na ni Dar es Salaam.
  9. Flexi lady

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Marehemu Mwinjilisti Moses Kulola na wengine ni kuwa alikuwa akihubiri neno linafanyika mwili hapo hapo

    Hayo usemayo sio kweli. Ila.msingi wa Kanisa la Katoliki unaujua Kweli? Sio vema ukaishi kama shetani unasubiria moto.
  10. Flexi lady

    JamiiForums Tanzania Mwenye noti ya Mia Tano jamani nanunua kwa laki moja

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. Flexi lady

    JamiiForums Tanzania Mwenye noti ya Mia Tano jamani nanunua kwa laki moja

    [emoji16][emoji16][emoji16]mpwayungu bwana..
  12. Flexi lady

    JamiiForums Tanzania Pikipiki iliyotumika naweza kupata kwa Shilingi ngapi?

    Njoo tufanye biashara
  13. Flexi lady

    JamiiForums Tanzania Nigeria tayari, Uislamu unaenda kuimeza Ulaya, wakristo watakuwa dini ya upili

    Ni sawa tu kwani kuna tatizo? Cha msingi wapige kazi tu, uchumi uinuke.
  14. Flexi lady

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya FaizaFoxy 7: Shule za kusomea ujinga. Tanzania na propaganda za Udini Shuleni

    Halaf unashangaa mwishoni unakutana na moto tu, kumbe iman ilikua feki bana
Back
Top Bottom