Recent content by Flaviank

  1. Flaviank

    Mwalimu wa Commerce na Book-Keeping

    thanks ndugu .. ushauri nimeupokea
  2. Flaviank

    Anayehitaji mwalimu wa masomo ya biashara

    nimehitimu mwaka huu hivyo sina cheti zaidi ya provisional results tu.
  3. Flaviank

    Anayehitaji mwalimu wa masomo ya biashara

    Asante ndugu kwa kunisaidia .... mimi ni mhitimu wa mwaka huu 2015
  4. Flaviank

    Anayehitaji mwalimu wa masomo ya biashara

    Msaada! Mimi Mwalimu wa COMMERCE NA BOOK-KEEPING natafuta shule inayohitaji mwalimu wa masomo hayo. Nimehitimu Degree ya Ualimu (Bachelor of Commerce with Education, St Johns University of Tanzania) 0755738672, Asanteni.
  5. Flaviank

    Mwalimu wa Commerce na Book-Keeping

    Habari, Mimi ni mhitimu wa degree mwaka huu(2015) chuo cha St Johns University of Tanzania kwa course ya bachelor of Commerce with Education na ninafundisha book-keeping pia commerce. Naomba msaada wa kupata shule inayohitaji mwalimu wa masomo ya biashara, nina uzoefu wa miaka takribani mitatu...
Back
Top Bottom