Recent content by FKB

  1. F

    Je, kuna udhibiti wowote wa biashara za mtandaoni?

    Habari wakuu, Hivi kwenye biashara hizi za mitandaoni kama ulilipia fedha mfano nusu ya gharama alafu muuzaji hajakupatia hiyo bidhaa na hata pesa anasumbua kurudisha, ni hatua gani mnunuzi achukue? Je, kuna udhibiti wowote juu ya biashara hizi? Kama mnunuzi anataka amuwajibishe huyu muuzaji...
Back
Top Bottom