Taifa ambalo hela zipo kwenye siasa na sio Kwa wabunifu na wasomi ujue taifa Hilo lishapotea njia! Wabunifu ndio wanatakiwa wawe na pesa zaidi na wasijione wako juu zaidi ya umma! Sasa sisi tunapigana madongo hapa kama hayo Kwa sababu wengi hawajui maana ya tafiti kwa maendeleo ya Taifa na pia...
Barua ya wazi kwa:
Naibu Waziri,
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,
Tanzania.
Ndugu;
YAH: KUKOSA IMANI NA WASIMAMIZI WA MRADI WA HEET (HIGHER EDUCATION FOR ECONOMIC TRANSFORMATION PROJECT)
Tafadhali husisha kichwa cha barua hapo juu. Mimi ni mtumishi katika chuo kikuu kimoja hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.