Please wadau poleni kwa majukumu ya kila siku.
Nimehitimu Chuo Kikuu lakini kama kawaida naumwa ule ugonjwa wa kila siku wa ajira na nimekaa nimefikiria nimeona nitajikwamua kupitia ufugaji wa Nguruwe.
Naomba msaada Kwa wajuzi kama kuna faida maana nipo commited faida hasara au Kwa lugha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.