Recent content by finidi

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sh,ngapi?
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Maisha yameshakuwa magumu dah saizi mdosi anacheka tu
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Derby umeninyima pesa kama masihara kumbe kweli
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Derby alichokifanya anakijua yy dah
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inategemea na seti geni umeweka kama normal ya kawaida 5 ni cap kwa timu iliyo ugenini
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ronaldo vs Messi, bado mbili tu

    Kwani messi kapiga hat trick ngapi kwa miaka mingapi, ilitakiwa CR7 ndio amfukuze messi sio messi kufukuza hat trick za cr7 kwani yy kacheza la riga mda mrefu kuliko Ronaldo
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mi ndio maana timu zenye odds ndogo huwa siweki kwenye mkeka wangu,
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mechi tano kali za Man U

    Wanarudi nafasi yao ya msimu uliopita
  9. F

    JamiiForums Tanzania Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Kawaida siku zote kanuni za mashindano yoyote utungwa mwanzo wa mashindano na kuwa ndio mwongozo sasa hii ya kuleta kanuni katikati ya rigi nyie mmeipata wapi? Na mchezaji kucheza na kadi nne za njano
  10. F

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi bora watano wa soka nchini

    Kashasha ni kocha kabisa kitaaluma na ndio maana hata uchambuzi wake ni kama mtu anaefundisha
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Liverpool dah
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo mdosi wenye mitaji mikubwa watakuwa wamemnyoosha
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Evartoni spurs lyon lazio fiorentina ajax na roma hapo vipi jamani
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kama kwa muhindi hiyo 4 Ni cap
Back
Top Bottom