Recent content by Finest

  1. F

    Msaada juu ya swala hili

    Leo nimeenda kuanza clinic nimepima vipimo vyotee na kuchoma chanjo lakini huwa naskia ukianza clinic unapewa dawa za kuongeza damu mie sijapewa kitu nimepangiwa tu tarehe ya kurudi is it right au wamesahau mwenye experience naomba tushare
  2. F

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Hello! doctor naomba kuuliza nmetokwa na mba ule mweupe kifuani kidogo na usoni ssa nkapewa dawa ya kupaka ya kentazol ule mba umeanza na kwenye layer ya juu ile ya uke nauliza kama hiyo cream naweza kupaka mpaka huko? maana ni sehemu ya mbele tu ile sio kwa ndani.
  3. F

    Msaada: Nimetoka damu kidogo kuliko ya hedhi japo mimi ni mjamzito

    Msaada plzzz leo nimetoka damu kidogo sana kama hedhi hivi na ni mjamzito mwezi mmoja na Wiki mbili.Msaada plzzzz!!!!
  4. F

    Je, ujauzito wa mwezi mmoja unahesabika kama kiumbe?

    Habari wanaJF, Nina swali linanitatiza. Je,mimba ya mwezi mmoja kinakua tayari ni kiumbe au ni nini? Naomba jibu la kibaiolojia tafadhali!
  5. F

    Sijawahi kufika kileleni

    Usamehewe bure....
  6. F

    Sijawahi kufika kileleni

    ahaha mbna kawaida tuu...usinambie ww huna matatzo yako inborn
  7. F

    Sijawahi kufika kileleni

    Hayo umesema ww....
  8. F

    Dawa ya mafua sugu

    Asante kw ushauri
  9. F

    Dawa ya mafua sugu

    Asante kwa ushauri
  10. F

    Dawa ya mafua sugu

    Hiyo nasal spray tunaomba mtuelekeze inavotumika Na mara ngapi pia inapatikana wapi
  11. F

    Sijawahi kufika kileleni

    Thankyuu
  12. F

    Sijawahi kufika kileleni

    Thankyuu
  13. F

    Sijawahi kufika kileleni

    Mimi sibadlshi wanaume kwaajili ya kutafuta kufika kileleni he'll no! Ni kama ww relationship yako isipokuwa successful unaruhusiwa kuwa na mwngne hvyo ndyo ilivo....na nmetaja idadi ili muone kuwa tatzo litakua kwangu na sio kwa mwanaume
  14. F

    Sijawahi kufika kileleni

    Mm ni mschana wa miaka 26 since nianze kudate sijawahi fika kileleni na ni zaidi ya 3 men...nmeshakutana nao wenye utaalamu tofauti tofauti lakin sijawahi fika najaribu kuweka mawazo yangu pale na kuwa na watu naowapenda lakin wapi sifiki...kuna this guy of mine mmoja alinambia katika wasichana...
  15. F

    Dawa ya mafua sugu

    Poleni sana wenye shda kama hiyo mafua yanakera sana aisee
Back
Top Bottom