Wahi hospitali kamuone daktari atakusaidia
Nina experience ya wife nae ilimtokea hivi akawahi hospitali kuna vidonge alipewa
Na vilimsaidia...pole sana ndugu yangu
Hiyo hali huwa inatokea wajawazito wengi hasa katika kipindi cha miezi mitatu ya mwanzo,ila kama ukiona inaongezeka na hali kuwa mbaya zaidi inaweza kuwa dalili mbaya ambayo inataweza kupelekea abortion.......
Pia inaweza kuwa dalili ya kitu kinaitwa placenta praevia.*
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.