Hapana sio kweli ,Tala wanatoa huduma Kama kawaida hapa Mimi nimepatiwa huduma Sasa hivi Wala hawapotezi hata dakika moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuwa lipo pembezoni mwa barabara na linafaa kwa shughuli kubwa za kibishara tumeona tuliuze lote kwa bei hiyo,ila maongezi yapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni eneo kubwa la heka 3.77 lililopo Msalato Dodoma mjini, barabara ya kwenda Arusha. Eneo hili lipo pembezoni mwa barabara karibu na kibao Cha Fantasy Hotel. Kama unahitaji tuwasiliane kwa namba 0764429619.
Bei inaanzia million 300.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.