Recent content by Fimbo2026

  1. F

    JamiiForums Tanzania KERO Patron wa Hospitali ya wilaya Kaliua ana kauli mbaya, DMO unajua kabisa watumishi hawamtaki kwanini hatua hazichukuliwi?

    DMO wa Kaliua, umejitahidi sana kuwa karibu na watumishi, lakini changamoto kubwa hasa katika hospitali ya wilaya, unajua kabisa watumishi hawamtaki Patron wa Hospitali kwa sababu ya kauli mbovu, uongozi na maadili mabovu. Lakini tunashangaa ni kwa nini unamkingia kifua? Au wote mnania moja...
  2. F

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uongozi Hospitali ya Wilaya Kaliua ni mbovu, wafanyakazi wamepoteza morali ya kazi

    Hospitali ya Kaliua U uongozi ni mbovu, viongozi hawasomi mapato na matumizi tangu mwezi wa 4. 2025 hadi leo, wala hakuna kikao cha hospitali kwa kipindi hicho Watumishi hawana morality na kazi, ukionekana unahoji tu unaonekana ni Mtumishi mkorofi. Stahiki za watumishi kama Motisha hazipo...
Back
Top Bottom