Recent content by Filibertpaul

  1. Filibertpaul

    Kodtec Speaker systems

    🤔🤔😂😂 MMmmhh Babuu apo Unataka kuamishia fiesta nyumban kwako . Hio woofer ni moto 🔥 🔥 wa kufa mtu, Kwanza hizo Watts Zake za moto (2000watts) Alaf woofer lenyewe liko serious balaa na halina manjonjo ya kijinga. Kiukweli Liko vizuli kinoma mkuu
  2. Filibertpaul

    Kodtec Speaker systems

    Nilipita kwenye duka la kodtec dodoma nikauliza bei ,wakanambia kuwa ni 200k Ila muonekano wake hauko kama woofer ya kawaida . Ndo maana ningependa kufaham box specifications na nguvu ya bass yake Ili niwe na uakika . Na je ina deep bass?
  3. Filibertpaul

    Kodtec Speaker systems

    Unatumia model aina Gani mkuu?
  4. Filibertpaul

    Kodtec Speaker systems

    Mkuu niliiKuta Kwenye duka la kodtec dodoma nikauliza bei yake eti ni 200k Asa najiuliza , hii woofer Ina specifications zipi coz imekaa kama vile sio woofer, na sijawai kusikia bass lake. Kama Kuna mtu ana box specifications apost tuone
  5. Filibertpaul

    Kodtec Speaker systems

    mkuu naomba kufahamu kuhusu Kodtec KT-2809 Subwoofer. Maana siielewi-elewi hii mashine Mfano RMS watts Zake , Bass frequency Zake, Ukubwa wa bass speaker .
  6. Filibertpaul

    Kodtec Speaker systems

    Kwani HiVi Kati ya hio rising rs-7600 na kodtec kt 2913, Je ipi ni Bora Kwa mziki mzito yaan deep bass?
  7. Filibertpaul

    Kodtec Speaker systems

    Kwani HiVi Kati ya hio rising rs-7600 na kodtec kt 2913, Je ipi ni Bora Kwa mziki mzito yaan deep bass?
Back
Top Bottom