Ndugu zitto nimesoma uchambuzi wako hakika unafikirisha na hata tusiokuwa wataalamu wa mambo ya fedha na uchumi tunapata muda wa kujua mambo mapya na kuchukua muda kujisomea zaidi.
Ila kwa kuwa swali lako limejiegemeza kwa BOT lakin umeliweka public na mimi kama Mtanzania nimeona nitoe maoni...
Brother Pasco,
Nashukuru kwa uzi wako mzuri wenye kufikirisha.
Mimi pia kama ulivyodeclare naomba niseme nina ufahamu kwa kiasi kidogo sana na uchumi pia ni mwanaCCM.
Ukweli ni kwamba inapokuja ishu ya maendeleo ya watu,haiwekwi wazi ni maendeleo yapi hayo?
Ni watu kuwa na pesa, majumba na...
Kumekuwa na tabia ya watanzania kuwa na hali ya kuongelea na kujadili mambo makubwa yanayoikumba nchi yetu kitu ambacho ni cha kupigiwa mfano kwa kuwa hapo zamani hatukuwa na utamaduni wa kujadili kwa uwazi,sasa jambo linaloshangaza ni uwezo mkubwa wa kusahau kwa haraka sana na kutochukua hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.