Msimtetee mnasema nini? Ninyi watu....huyu waziri amekosea sana na hata hafai kuwa waziri. Hili kosa sidhani kama kuna mtu anayeweza kukosea hivyo.....siyo kawaida kukosea hivi. Naweza kukubali kosa lolote lakini si hili.
Huyo Chenge bado anaendelea kusumbua na bado ana mambo ya zamani.Kwa nini magazeti yanaficha ukweli kama kweli alionekana kwa nini hawamtaji jina na kweli ameonekana.Lakini tumeshamjua ni CHENGE.atakoma safari hii,kumbe elimu yake haimsaidii!jamani pamoja na Harvard yake?Aibu kwa huyu muuaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.