Understandable kabisa kuwa baadhi ya deals zinawavuruga wasanii wetu na ni kweli 100% kwamba mikataba mingi ya kimataifa haina huruma. Lakini si kila kusainiwa ni ujinga wala kila deal ni ya 'kupigwa'. Kuna tofauti kubwa sana kati ya msanii anayekimbilia pesa ya haraka (cash grab) na msanii...
Burna Boy alisaini full record deal na Atlantic Records (Warner) mwaka 2017. Baada ya hapo, alitoka kwenye Spaceship kama lebo yake ya kwanza, na kujiunga fully na Atlantic kwa global reach. Hii ndio deal iliyomsukuma hadi kushinda Grammy, kujaza London na Tottenham hospers Stadium back to back...
Kaka mjadala wako ni mzuri sana na umeibua mengi, naona kuna umuhimu wa kuelewa kwamba mikataba ya wasanii na lebo za kimataifa huwa hazifanani kuna aina tofauti za deals, na kila moja ina faida na hasara zake. Hapa chini ni breakdown fupi ya aina kuu za mikataba:
🔹 1. Full Record Deal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.