Recent content by Fidelis Greygod

  1. F

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) pamoja na kutoa mwongozo Kidato cha Nne kuomba mkopo wa Diploma, mfumo wao hauruhusu

    Umefanyaje mpak ukafanikiwa kutuma mana mm nashindwa kabsa ku-submit 0766768829 msaada tafadhali
  2. F

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) pamoja na kutoa mwongozo Kidato cha Nne kuomba mkopo wa Diploma, mfumo wao hauruhusu

    Hivi inawezkana kuomba mkopo wa elimu ya juu Kwa kutumia smartphone au Kuna sehemu simu itafeli?
  3. F

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) pamoja na kutoa mwongozo Kidato cha Nne kuomba mkopo wa Diploma, mfumo wao hauruhusu

    Mbona mm nazinguliwa ku-submit loan application? Muda wowte naambiwa"Error occured, please try again"
  4. F

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) pamoja na kutoa mwongozo Kidato cha Nne kuomba mkopo wa Diploma, mfumo wao hauruhusu

    Huyo wa form six hajaelewa lengo langu,, mm nahoji kuhusu mkopo wahtmu wa form four chuo nshapata diploma in clinical dentistry City College
  5. F

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) pamoja na kutoa mwongozo Kidato cha Nne kuomba mkopo wa Diploma, mfumo wao hauruhusu

    Samahani, naomba kujua hivi bodi ya mkopo wa elimu ya juu Inatuchukuliaje Watanzania? Maana kwenye mwongozo wa mkopo wa diploma 2024/25 wanaruhusu mwenye elimu ya form four, certificate na form 6 aombe mkopo. Cha ajabu ukiingia kwenye mfumo wa kuomba mkopo (OLAMS) education level wameweka...
Back
Top Bottom