Huyu Mufuruki alianzisha kitu kinaitwa Africa Leadership Initiative (ALI) ambayo matunda ya huyo taasisi ni vijana wanaofanya vizuri katika taasisi mbalimbali Kama Mchechu wa NHC na wengineo wengi. Huyu ni mmoja kati ya Watanzania wenye maono makubwa na mzalendo.
Huyu Mr. Mufuruki ni Mhaya ni mtu mpambanaji sana amefanya kazi kampuni ya Benz mara baada ya kumaliza masomo yake huko Germany na amekuwa among of successful activist in Africa, hard working person, kabla huja comment chochote ingia Google kwanza au u tube utaelewa ni nani!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.