kama kuna mtu ameangalia mdahalo wa wagombea wa urais wa Marekani ;kweli imejionyesha wazi kuwa, kuna tofauti sana ya uelevu baina ya wagombea hao wawili Barack Obama amedhihirisha kuwa ana kichwa kizuri ,na ameonyesha welevu wake wa maswala ya kidunia pamoja na uchumi. Kituko cha mwaka...
Kuna swala ambalo watu tunaofuatilia mambo ya kisiasa na tunaishi hapa Marekani tunapenda Obama ashinde ila, si mtu ambaye atasaidia watu weusi kwa namna yoyote ile .Ananufaika kama mweusi kisiasa, lakini anajiweka mbali katika kuzungumzia maswala makuu ambayao yanawahusu watu weusi mahususi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.