Recent content by Fide Simbili

  1. F

    SoC03 Moyo wa Chuma

    Kama tunavyofahamu kazi kubwa ya moyo ni kusukuma damu, moyo huu umekua tofauti katika kufanya kazi zake. Tazama moyo huu umegawanyika katika Makundi makuu mawili, kundi linaloonekana kunawiri na ni kundi ambalo linawavutia watu wengi wautizamao. Pia lipo kundi ambalo limeweka kutu na...
  2. F

    SoC03 Yangu majuto

    Ahsante sana
  3. F

    SoC03 Yangu majuto

    Karatasi nalivuta, Natamani kuandika, Mambo yaliyonikuta, mwili unatetemeka, Nani wa kuyafuta, Machozi yananitoka, Ninaishia kujuta, Kila ninapokumbuka, Nilikua mgomvi, Makundi kutengeneza, Nilikua ajizi, mazuri kuyapoteza, Nilikua jambazi , wanyonge kuwaumiza, Nilikua bazazi , uongo...
  4. F

    SoC03 Wosia wa Baba

    Wanangu nawasalimu, Salamu ziwafikie, Niko hoi baba yenu, Naomba mlitambue, Ninalo jambo muhimu, Natamani mlijue, Nitaposhusha kalamu, ujumbe muusikie, Amani kitu muhimu,wanangu mnielewe, Aliyasema Mwalimu, Amani iendelee, Tusilete udhalimu, Amani ipotelee, Bora tutoe elimu, Amani isipotee...
Back
Top Bottom