Recent content by Festo Mganga

  1. Festo Mganga

    JamiiForums Naombeni ushauri kuhusu hili jambo la kufungua Health Lab

    Licha ya ugumu wa kazi pia nafanya kazi na wahindi uhakika wa kazi ni mdogo sana maana kila siku wanafukuza watu ko nahofia ipo siku na mimi nitafukuzwa nikakosa pa kushika
  2. Festo Mganga

    JamiiForums Naombeni ushauri kuhusu hili jambo la kufungua Health Lab

    Asante mkuu kwa mawazo yako, ni kazi ngumu ambazo itafika umri sitaweza kufanya tena ndio maana nilikuwa nawaza kupata kitu ambacho kitanisaidia hata kama nguvu kazi ikipungua. je kufungua na kumuajili mtaalamu hapo vip..?
  3. Festo Mganga

    JamiiForums Naombeni ushauri kuhusu hili jambo la kufungua Health Lab

    Habari, Naombeni ushauri jaman mimi nilimaliza form 4, 2011 kwa ufaulu wa C flat za PCM na masomo mengine yote D sikuweza kuendelea na masomo kwa wakati ule kutokana na hali ya kimaisha, nikajiunga na harakati zingine mtaani. Nimeweza kudunduliza na kufikisha 8m nawaza nisome diploma ya...
Back
Top Bottom