Mimi ni kijana niliye maliza kidato cha nne mwaka huu, na matokeo yangu ni kama ifuatvyo, D-civ, D-hist ,D-kisw ,D-eng na nyenginezo ni F, kwa maana ni four ya 31, sasa kama cheti changu kipo hivyo je naweza kupata chuo chochote cha sheria, na utaratibu wa vyuo vya sheria upoje pamoja na ada...