Recent content by FESALI MAJURA

  1. F

    Bungeni: Mbowe aweka msimamo wa posho

    naomba kamanda mbowe na jopo lako endeleeni na msimamo wenu wa kukata posho kwani watanzania tupo nyuma yenu na tunasubiri hatima ya jambo hilo. Haiewezekani wachache wakafaidi our national cake najua wao watashinda bungeni kwa wingi wao na makofi wanayopiga hata wakiwa usingizini hivyo naomba...
  2. F

    Bungeni: Mbowe aweka msimamo wa posho

    dah! kwa kweli inaniuma kuona baadhi ya viongozi wachache katika nchi iliyo masikin kama Tanzania wakisimama na kutaka kulipana posho zisizo za msingi ili hali wananchi hawana hata uhakika wa kupata chakula nadhani zama za mapinduz zimewadia watanzania tufikilie kuhusu hili
Back
Top Bottom