Heshima kwenu wakuu,
Dr. Mi nina tatizo la kisigino kuuma hasa asubuhi nikiamka na kukanyaga chini kisigino cha mguu wa kushoto kinauma kama nimekanyaga miiba, baada ya kutembeatembea maumivu hupungua kiasi
Nyakati zingine nikikaa kwa muda wa nusu saa nikisimama kutembea maumivu nasikia tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.