Recent content by feni_mbovu

  1. feni_mbovu

    Msaada kuhusu dalili za ra rheumatoid artisis

    Sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. feni_mbovu

    Msaada kuhusu dalili za ra rheumatoid artisis

    Asante nitazingatia Sent using Jamii Forums mobile app
  3. feni_mbovu

    Msaada kuhusu dalili za ra rheumatoid artisis

    Ndio maana nimeuliza kutaka kujua coz nimeusoma huu ugonjwa na nikaangalia dalili zake ni kuathiri joints na sehemu kama moyo n.k kwangu ndio naona hizi dalili miguu kuuma joint zangu mpaka kwenye mabega na mikono mpaka miguu pia huuma Sent using Jamii Forums mobile app
  4. feni_mbovu

  5. feni_mbovu

    Msaada kuhusu dalili za ra rheumatoid artisis

    Mara ya kwanza nilihisi ni moyo nimeenda muhimbili nimechek moyo hauna tatizo pia wakanipima damu kuangalia tatizo but hakuna ila miguu inawaka moto sana sielewi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. feni_mbovu

    Msaada kuhusu dalili za ra rheumatoid artisis

    Nasumbuliwa na tatizo la kuumwa ns joints za parts kwenye miguu hasa vidole vya miguu joints za mapaja hips now maumivu yanaanza kuelekea kama kwenye uti wa mgongo msaada wenu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. feni_mbovu

    Kijana epuka ndoa na wanawake wenye kazi hizi

    Wote ni walewale ni tabia ya mtu sio kind of job anayofanya Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom