Kwa kweli wazazi nao are playing important role kwenye maisha yetu. Labda kabla huyo dada hajafikia kufanya uamuzi wowote ajaribu kukaa chini aongee na wazazi wake. Awaeleze kwa nini amekubali kurudiana na mwenzi wake na kumsamehe. Kuna siri kubwa wazazi ambayo si ajabu wanaijua, lakini kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.