Recent content by fellow iddy

  1. F

    Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Kama shule hazitoshi kwanini wasifanye mpango endelevu wakujenga hizo shule za advance ili ziwa fit wanafunzi wrote wenye vgezo...?!?!?!?!?!!; ukizngatia mtu umesoma kwa bidii miaka yote minne ili ufaulu afu unajikuta hujapangiwa shule wakati sifa unazo... Inaumiza sana kwakiasi flan
  2. F

    Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Mi nashindwa kuelew Mi nashindwa kuelewa Jamani... Serikali inasema kua ili mtu achaguliwe kidato cha tano anapaswa kua na dvs 1 2 na 3 tena alie balan Mi nashangaa jamani... Serikal yangu cjui Ina nini kiukweli.... Wao wenyew wametoa tangazo la mtu kujiunga na kidato cha tano anatakiwa awe na...
  3. F

    Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Mh! We ni text 0654290242 wasap lakin. Then takutumia majina kama yalivyo au taja jina la mwanafunz na shule nikutumie screen sht
  4. F

    Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    wee list ni ndefu sana ndugu yangu.... Ingekua wasap ningekutumia kama ilivyo au taja jina na shule ya mwanafunz alosoma nikutumie screen shot
  5. F

    Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Mi mwenyew nashangaa kuwekwa second selection.... Wakati kunawatu wa division kama yangu na wamepangiwa first
  6. F

    Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Maximum wanasema kuanzia tareh 25 ya mwez wa nane mpka 30 second selection zitakua zimetoka... Nashule ni mwez wa 9...
  7. F

    Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Ngoja nitafte njia yakutuma ila nikishindwa takupa namba namba yangu ya wasap nikutumie pfd uyaone hayo majina
  8. F

    Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Zimesha toka ila niorodha tu yamajina kwawatakao pangiwa shule
  9. F

    Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Mwaka huu wametoa orodha ya majina kwanza... Watakao pangiwa
  10. F

    Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Second selection zimetoka ndugu ila safari hii wametoa orodha tu ya majina watakao pangiwa shule
Back
Top Bottom