Naitaji atakaye nijibu ao kunipa ushauri kwa hekima tafazali... mimi nipo kwenye situation kama iyo.. kwani kuna binti nataka kumuoa ila ana mtoto mmoja wa miaka tatu.. walikuwa awajaowana bado walikuwa tu wa penzi, kisha uyo mwanamume wake alipo safiri huko akaoa mwengine mbinti nakukatisha...
Ikiwa ni mwanamume ndo alimwacha msichana na kuoa mwengine.. naweza amua je nikiwa naofiya in furure wawili hao watakuwa na communicate kwakizingizio cha mtoto??

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.