Habari,
Naomba tusaidiwe kufikisha ujumbe huu kuhusu huduma ya mtandao wa Airtel. Kwa sasa tuna siku ya tatu hatupati huduma ya intaneti kabisa, lakini kila tunapowasiliana na huduma kwa wateja tunaambiwa kuna tatizo la kiufundi.
Swali linalosumbua ni kwanini tatizo hilo halitangazwi kwa umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.