Recent content by felistian

  1. F

    JamiiForums Laptop yangu haiwaki baada ya kusafisha na kitambaa chenye maji. Tatizo nini?

    Nlpeleka kwa fund kwa bahat nzuri au mbaya kila kitu kilikua sawa isipokua iliua ram tu bas
  2. F

    JamiiForums Laptop yangu haiwaki baada ya kusafisha na kitambaa chenye maji. Tatizo nini?

    Kitambaa klikua na unyevu sio maji kabsa mkuu ila ndo ivo ishatokea
  3. F

    JamiiForums Laptop yangu haiwaki baada ya kusafisha na kitambaa chenye maji. Tatizo nini?

    Nmeshaangalia hadi kwa toch hamna kitu na kitambaa klikua na unyevu unyevu sio maj kabsa na nlisafisha sehem ndogo san ambayo ilkua na uchafu sio kioo chote
  4. F

    JamiiForums Laptop yangu haiwaki baada ya kusafisha na kitambaa chenye maji. Tatizo nini?

    Naombeni ushauri, nimesafisha kioo cha laptop yangu kwa kitambaa chenye maji maji ikiwa imewaka baada ya kuizima na kuiwasha kioo hakiwak tena yaani ni black tu hakionyeshi kabisa. Tatzo nini jamani?
Back
Top Bottom