Recent content by feisalmollel

  1. F

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Segerea wanamtaka Scholastika Kevela, Makongoro Mahanga kachokwa

    ayo ni mawazo yako na ndomana unakesha na mabinti gest kila kukicha. huwezi ishi bila kula so hapo inaashiria kuwa ccm ikiwepo madarakani watu hawafi na njaaaaaaaaaaaaaa
  2. F

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Segerea wanamtaka Scholastika Kevela, Makongoro Mahanga kachokwa

    mh. kevela anatosha
  3. F

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Segerea wanamtaka Scholastika Kevela, Makongoro Mahanga kachokwa

    tibaijuka anafaa urais 2015 ww vp ww??? iv hujaacha kunywa gongo tuuu ww???
  4. F

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Segerea wanamtaka Scholastika Kevela, Makongoro Mahanga kachokwa

    yani bro wake alafu unasema rushwa ww vp??????????? au una utindikio wa akiliiii????? usifanye siasa za majitaka wwww
  5. F

    JamiiForums Tanzania Profesa Anna Tibaijuka atuma jopo kwa Mangula

    huyo aliowataftia shida ni watu wa ikulu na stanbic bank ambayo orodha yaike imefichwa banki hadi keshokutwa. ile ela ya mkombozi ni safi na ndomana orodha ipo
  6. F

    yupo nae ni prof. anna kajumulo tibaijuka mwanamke shujaa tanzania na mwenye sifa za kimataifa
  7. F

    JamiiForums Tanzania Profesa Anna Tibaijuka atuma jopo kwa Mangula

    sisi wananchi na jk tulimuomba mama prof. arudi tz atusaidie kujikwamua kimaisha tanznania
  8. F

    JamiiForums Tanzania Profesa Anna Tibaijuka atuma jopo kwa Mangula

    hata ufanyeje hulichukui ng'oooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo hili jimbo labda prof. aseme basiii vinginevyo tutampa prpf. wetu msomi duniani
  9. F

    JamiiForums Tanzania Profesa Anna Tibaijuka atuma jopo kwa Mangula

    acheni kuandika uongo humu ndani mnasambaza uongo hamuoni haya??? hata mangula akiona si atawashangaa sana? maana hakuna aliyetumwa
  10. F

    JamiiForums Tanzania Profesa Anna Tibaijuka atuma jopo kwa Mangula

    kat yayeye prof. na wewe mvuta bangi nani kachanganyikiwa???????????????
  11. F

    JamiiForums Tanzania Profesa Anna Tibaijuka atuma jopo kwa Mangula

    huyo aliowataftia shida ni watu wa ikulu na stanbic bank ambayo orodha yaike imefichwa banki hadi keshokutwa. ile ela ya mkombozi ni safi na ndomana orodha ipo
  12. F

    JamiiForums Tanzania Profesa Anna Tibaijuka atuma jopo kwa Mangula

    hahahahaaaa , there you are prof. anna tibaijuka is supposed to be the president to be 2015 and she can
  13. F

    JamiiForums Tanzania Profesa Anna Tibaijuka atuma jopo kwa Mangula

    huna jipya kwani unajua alipotoka un alipewa kiinua mgongo sh.ngpi? km ni ela mama hana dhiki hata robo
  14. F

    JamiiForums Tanzania Profesa Anna Tibaijuka atuma jopo kwa Mangula

    hahangaiki ila ni mpiganaji wa kisomi zaidi tanzania. Watanzania twaitaji wanawake kama prof. Tibaijuka ili nchi iondokane na umasikini
  15. F

    JamiiForums Tanzania Profesa Anna Tibaijuka atuma jopo kwa Mangula

    iyo kweli ila siunajua anaguswa sana na wanyonge na wananchi wasio na ajira akina mama na wanawake tz? Ndo mana alianzisha chama cha wanawake tanzania ni mpenda maendeleo na hapendi dhuluma manyanyaso na umasikini
Back
Top Bottom