Recent content by Feetham Banyikwa

  1. F

    Muundo wa muungano unaofaa huu hapa.

    Ndivyo ilivyo ila kwa sababu WM Mh Pinda ni wa Jamuhuri hilo box la Tanganyika lipo juu ya box la Zanzibar na hapo ndipo pana utata.
  2. F

    Serikali Tatu: Ni mfano wa kutoka nchi gani duniani?

    Serikali tatu zipo hivi sasa. 1. Serikali ya Zanzibar inayoongozwa na Mh Shein. 2. Serikali ya Tanzania Bara(Tanganyika) inayoongozwa na Mh Pinda WM. 3. Serikali ya Muungano inayoongozwa na Raisi JMK. There is nothing new about this arrangement, ni mtazamo tu wa hali halisi.
  3. F

    Tanganyika huru italetwa na wenye moyo: MP3 Audio wasikie Mh.Lissu, Mh.Jussa na Mh.Mbowe

    Kwa wakatu ule wa 1964 na mazingira ya kisiasa ya wakati huo wa enzi za COLD WAR Raisi JKN aliamua kijasiri kuunganisha hizo nchi mbili na kutupa uhuru na muda wa miaka 52 wa kutafakari, kutunga sheria, kuandika Rasimu na kuweka utaratibu wa kuijadili na kupata maelewano. Raisi JKN hakuwa na...
  4. F

    Dakika 5 za Dk. Kigwangwalla na dakika 12 za Mh. Tundu Lisu kabla ya kukatishwa

    Busara utumike kufanyia kazi mawazo na utafiti wa Mh Tundu Lisu.
  5. F

    Serikali mbili na Uhuru wetu

    Serikali tatu zipo hivi sasa. 1.Serikali ya Zanziba. 2. Serikali ya Tanzania Bara (Tanganyika) inayoongozwa na Mh Pinda WM 3.Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mh Raisi JMK. Kwahiyo haya mabishano yanaweza tuu kunyoosha na kuweka mambo vizuri kisheria. Serikali 3...
Back
Top Bottom