Recent content by fedawa

  1. F

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuishiwa damu wakati wa ujauzito

    wa kwanza
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuishiwa damu wakati wa ujauzito

    wa kwanza
  3. F

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuishiwa damu wakati wa ujauzito

    vidonge natumia toka miez mitatu na sp nimekunywa zimepita kama wiki mbili.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuishiwa damu wakati wa ujauzito

    nimekula matunda sana,mboga za majan kwa wing tena nachemsha tu,au nasaga matembele nakunywa.rozela lakin ndo hivyo inapungua
  5. F

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuishiwa damu wakati wa ujauzito

    Hope wote mu wazima. Mi ni mdada wa miaka 26, miezi minne nyuma kabla cjapata ujauzito nilipata tatizo kuishiwa damu nilizunguka hospital nyingi hadi regency wakasema sina tatizo, nikawa naendelea kuhangakaika huku na kule. Mwezi wa tano nikapata mimba hadi sasa mimba ina miezi sabal, tatizo...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka tatizo la damu

    mungu namshirikisha ndug na naamin atanisaidia.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka tatizo la damu

    25,tatzo lako lilidum mda gan
  8. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka tatizo la damu

    hv na typhoid ikiwa 320,inaweza kusababisha upungufu wa damu?
  9. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka tatizo la damu

    asante sana
  10. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka tatizo la damu

    thanks much.natumain hivyo
  11. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka tatizo la damu

    jaman natumain mu wazima. mi ni bint ,nna tatizo la kupungua damu tangu mwez wa kwanza.nikitumia vyakula au dawa inapanda hata had 13,lakn nikiacha baada ya wiki kama tatu naikuta 9,,.nimepima vipimo ving kama full blood picture,vidonda vya tumbo ,minyoo,kote naambiwa niko normal cna...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ya Moto band ipigwe marufuku, Sasa imevuka mipaka kukiuka maadili

    jaman msanii anatakiwa afikishe ujumbe kwa tafsida.sasa mbona yamoto wametumia tafsida nyi mnalalamka nn??
  13. F

    JamiiForums Tanzania Jamani msaada wana JF

    Je ni kweli mtu akizitumia sana damu inaweza kupungua? naomba kujua ni dawa zipi?
  14. F

    JamiiForums Tanzania Jamani msaada wana JF

    hamna kalagabaho,nimeuliza hivyo kwa sababu ni antibiotic na nimesikia zinamaliza white cells.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Jamani msaada wana JF

    hope wote mu wazma, jaman naombeni mnisaidie hivi kuna dawa za typhoid ambazo husababisha damu kupungua mwilini? hope ntapata majibu mazuri.
Back
Top Bottom