Recent content by Fazer

  1. F

    SoC04 Mapambano ya rushwa na Tanzania tuitakayo miaka 25 ijayo

    MAPAMBANO YA RUSHWA NA TANZANIA TUITAKAYO MIAKA 5 MPAKA 25 Rushwa inaweza kutafsiriwa kuwa ni hali ya kupokea na kuchukua mali au pesa ya serikali au kampuni kwa faida binafsi. Rushwa inaweza kuwa katika namna mbili tofauti; rushwa kubwa na rushwa ndogo. Tanzania inakabiliwa na tatizo la rushwa...
  2. F

    SoC04 Maendeleo ya kiuchumi na Tanzania tuitakayo

    TANZANIA TUITAKAYO MIAKA 5 MPAKA 25 KATIKA MAENDELEO YA KIUCHUMI Tanzania ni nchi yenye uchumi wa kati-chini (middle lower income) kulingana na tafiti na taarifa ya Benki ya dunia ya tarehe 1 julai, 2020, hiyo ni miaka mitano kabla ya muda ambao Tanzania ilijipangia katika Dira ya Maendeleo ya...
  3. F

    SoC02 Wanafunzi wa kike wa miaka (15-18)wanaopata ujauzito kutoka kwa wanafunzi wenzao wa kiume wenye miaka inayoendana wapewe adhabu pia

    Wanafunzi wa kike au mabinti wenye umri kati ya miaka kumi na tano mpaka miaka kumi na nane wanaopewa ujauzito au kufanya ngono na wanafunzi wenzao au vijana wenye umri unaoendana na wao wapewe adhabu ya muda mfupi kisha warudishwe masomoni chini ya uangalizi wa wazazi. Imezoeleka kwamba watoto...
Back
Top Bottom