Recent content by Faustin Robert

  1. F

    JamiiForums Tanzania Dodoma CCM ni yatima kwa sasa

    Hao wanataka tu vitambulisho vya dhamana na si kupigia kura ccm ni imara tu wanaoyumba ni watu si chama
  2. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa afunguka, awataka wanaomchafua kujitokeza wazi

    Wagombea wote tunawatakia kila la kheri suala tumuombe mungu atupe viongozi waadilifu na wachapa kazi asitupe viongozi wasiofaa na wanaojifanya wafalme.mungu ibariki Tanzania
  3. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa afunguka, awataka wanaomchafua kujitokeza wazi

    Lowasa si ajibu tuhuma zinazomkabili na si kutisha watu.
Back
Top Bottom