Tanzania ni nchi ya pili duniani kwa kuwa na vivutio vingi vya kitalii ikiongozwa na nchi ya Brazil. Lakini licha ya Tanzania kuwa na vivutio vingi vya kitalii ni chini ya asilimia mbili {2%} tu ya watanzania wanaotembelea katika vivutio hivyo ukilinganisha na wageni wanaokuja kuvitazama vivutio...
Na Fatuma Seif
Sigara ni aina ya kilevi,kibirudisho ambacho hutumiwa na baadhi ya watu wa rika tofauti tofauti ikiwa na maana ya wanaume, wanawake, wazee na hata vijana ambao hupenda kutumia kiburudisho hicho.
Japo sigara hutumiwa na baadhi ya watu ambao hupenda kuitumia lakini ni ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.