Recent content by fatuma bilaly

  1. fatuma bilaly

    Nahitaji ushauri: Nimepima sina mimba ila sioni siku zangu

    Daaaah samahanini jamani sikujua taratibu za humu ni mgeni nmeingia Jana tu mnisamehe tuu ila nshapaona pachungu mhh!
  2. fatuma bilaly

    Nahitaji ushauri: Nimepima sina mimba ila sioni siku zangu

    Xax HV enyew uxhatimia mwezi na coni dalili yoyote ya mimba nikipima ndohvyo but ilibidi niingie period tareh 14 nmeanza kuckia maumivu ya kiuno kwa mbali tareh 15 had xax HV bado nayackia tu. Inabidi niende hospitali
  3. fatuma bilaly

    Nahitaji ushauri: Nimepima sina mimba ila sioni siku zangu

    Wala cogop mimba na wala co Mume wa mtu ila nmeuliza tuu maana naona vipimo vinaonesha negative na yey nmemwambia anasema haiwezekan iingie sababu nlikuwa makini kumwaga nje itaingiaje xaxa .! Na nlikuwa nxhamwambia kuwa nipo cku ya hatar akaxema ataweka umakin wa hali ya juu ila ndohvyo tena
  4. fatuma bilaly

    Nahitaji ushauri: Nimepima sina mimba ila sioni siku zangu

    Habari zenu wapendwa, Jamani wapendwa naombeni ushauri nimefanya mapenzi kwenye siku ya hatari lakini jamaa alimwagia nje, sasa tarehe ya siku zangu (bleed) imefika na sijaona siku (bleed) ikabidi ninunue kipimo nimejipima imeonekana (negative) Lakini sasa hivi nina siku kama ya nne nimeanza...
  5. fatuma bilaly

    Ushauri: Jinsi ya kujiari

    Nasoma TIA daresalaam
  6. fatuma bilaly

    Ushauri: Jinsi ya kujiari

    Habari zenu wapendwa, Nasoma diploma in accountancy nilikuwa naomba ushauri jinsi ya kujiajiri kulingana na taaluma yangu. Asanteni
Back
Top Bottom