Recent content by FATHER OF HISTORY

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM mlioachwa , msiwe na hofu , CCM haijawahi kumtupa mtu .

    Ina maana wajipe Moyo labda hata Ukuu wa Mkoa watapata?
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kiliba: Askofu Gwajima kuzungumzia Utekaji yuko sahihi kwa Asilimia 100

    Vitoto vinaaibisha hata Vyuo wanavyosoma.Kweli Vyuo Vikuu Vinazalisha Majanga kama haya Kweli? Hakuna Constructive and critical Ideas utapata hata hapa. Na hapa ni hasara Kwa Mzazi Hata
  3. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 VIDEO: Nape Nnauye ajiposti akichambua Mboga. Hizi ni Siasa au Tamthilia ya Huruma?

    Lugha Lugha ya picha hiyo,haimaanishi amejitweza,Kuna kitu anamaaniaha hapo
  4. F

    JamiiForums Tanzania Huyu Sheikh aongezwe kwenye rodha ya Mashahidi wa Jamhuri dhidi ya Lissu. Alisikia kwa masikio yake juu kukinukisha ili uhaini ufanyike

    Naomba Tafsiri ya neno "Kukinukusha" Kwa kadri ya Kamusi ya Kiswahili sanifu au Kisheria
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mwenye ushahidi wa njama za kumuwekea sumu Lissu auweke hadharani na siyo kuichafua Serikali yetu kipindi hiki cha Kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Too much words with nothing! All the major points are left out!
  6. F

    JamiiForums Tanzania Utamkumbuka Kassim Majaliwa kwa jambo lipi?

    Ni Mwalimu wangu Bora Kabisa
  7. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aida Kenani aaga wapiga kura Nkasi Kaskazini akisema, "sitasaliti mapambano"

    Kwahiyo watu kuuawa wakati wa uchaguzi kwako sawa?
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kwamba naye mkuu wa muhimili fulani anawekwa pembeni?

    Daah Code zako hizi siyo mchezo
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia, TRA imekusanya kodi Tsh. Trilioni 120, kiwango kikubwa kuliko awamu zote kabla yake

    With reference to what? 1:Tax payers vs time 2: Number of investments vs tax information systems 3: Tax Awareness vs Tax Rules
  10. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanasheria mkuu wa serikali ashangazwa Kauli za No reforms No election, asema reforms zimeshafanyika

    Ukiona zinapingwa Kuna mapungufu, fanyieni kazi
  11. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Ali Kawaida: Sio kila anayepotea, katekwa na vyombo vya dola!

    Ukijipa mamlaka ya kuisemea Serikali bila idhini Yao unaweza jikuta unaropoka na kuiharibia Serikali
  12. F

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majibu na uchambuzi wangu mzito na wa kina kwa hotuba ya Askofu Dkt. Gwajima

    Ukiona gazeti reeefuuu...ujue ni mwashambwa huyo
  13. F

    JamiiForums Tanzania Hoja sita juu ya Martha Karua kuzuiliwa kuingia nchini

    All major points are left out
  14. F

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani, kwanini ulie wakati umetangaza mwenyewe kujivua uanachama

    Usije ukaoa mwanamke aliyeachika Kwa mwenzako ukajua labda na mwenzio alikuwa hajui kutunza,akija kwako na wewe atakuacha, tabia ni kilema. Ni mjinga pekee anaweza kuwapisha wasaliti wagombee wakati Wenye Chama Chao wapo
Back
Top Bottom