Recent content by Father of Daddy

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa wanaosoma open University of Tanzania

    Asante ndg flyn rider maana nimemuuliza loan officer wa sua akaniambia ye hajui
  2. F

    JamiiForums Tanzania SUA, ni sawa mtu ku-disco kisa hujalipa ada?

    Kiukwel SUA wana mambo ya ajabu sana maana mm mwenyewe washikaji zangu nilikuwa nao class hapo sua wamedisco kisa ada. Na ukiwauliza wanakwambia ni mambo ya suasis hayo
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa wanaosoma open University of Tanzania

    Naamanisha na wao wana fursa sawa wanafunzi wa vyuo vingine?
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa wanaosoma open University of Tanzania

    Ndugu wanajamii forum naomba kufahamishwa kuhusu wanafunzi wanajiunga na chuo kikuu huria, je huwa wanafikiriwa kupata mkopo kutoka bodi ya mikopo kama vyuo vingine?
Back
Top Bottom