Recent content by Fastaaa

  1. F

    Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

    Ni bahati mbaya sana kila anayetetea haki anaonekana CHADEMA, mimi ni mwanachama wa CCM nisiyependa mambo mabaya ya CCM kwa ajili ya nchi yangu. Sasa wewe unafanyia kazi buku 7 yako ndo tatizo
  2. F

    Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

    Mnaouza utu wenu kwa tende na halua mnatia huruma sana
  3. F

    Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

    Nitakuja kutolea hapo mbele kwako.
  4. F

    Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

    Unaishi kwa kudhania. Waliopo madarakani wanajua nguvu ya uma, kuna mstari mwembamba sana kati ya ujeuri wanaoonyesha na jinsi tutakavyobembelezana. Juzi tu hapo Ruto kdg awapigie magoti gen Z. Ila alipiga kwa Uhuru na Odinga ndo urais ukaendelea. Waambie waliokutuma kuwa huku hatusamehe...
  5. F

    Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

    Kuna mtu hafi? Wewe unajua utafia wapi? Mwache afie huko ndipo chemichemi ya baraka kwa watanganyika itatokea.
  6. F

    Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

    Let she play with the rome, she holds a presidential candidacy as a wet soap in a wide holed toilet.
  7. F

    Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

    Tulia wewe, hata huelewi unachosimamia
  8. F

    Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

    Ni muoga wa mjadala kwa kujificha kwenye kichuguu. Ni uthibitisho wa watu wenye akili kutokuwa nazo mbele ya MaCCM
  9. F

    Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

    Our silence will be another karma to us
  10. F

    Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

    Ombea pua yako iendelee kufanya kazi, ukinusa utajua
  11. F

    Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

    Hilo halikuhusu wewe, tangazo litoke mtaona. Ingawa, bila hata Tangazo, muombeeni afya njema, akifia huko tu mmeisha mark my words. Mgombea wa CCM atabadilishwa na hilo saga. SUBIRINI
  12. F

    Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

    Amiri jeshi mkuu na msimamizi wa mhimili ule unaoimeza mahakama na kukosa kutenda haki, huyo wapili ndiye subject wa kesi aliyeshtakiwa nayo Dr. Slaa baada ya kusemekana kutaka kumwaga hela uchaguzi wa CHADEMA. Hao ndo wahusika wakuu wa hiyo kesi, hata wewe unajua, majaji wanaorusha rusha...
  13. F

    Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

    Nani amekwambia mimi ni kijana?
  14. F

    Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

    Wao watangaze waone, maana wakishatangaza itakuwa ishara tosha, Dr. Slaa hata akifa kwa mapenzi ya Mungu basi kitanuka.
Back
Top Bottom