Kwani ndoa ni nini? Na sogea tuishi ni nini? Umeshamvulia nguo na umefanya ndoa na huyo mtu,,,,maaana umeshajiunganisha nae ki ndoa kwa ngono yenu,,,,maana yake nyinyi mna ndoa kiroho,,,,unachotaka wewe ni kuufaidisha umati wa watu kwamba umeolewa,,,,sasa kama ni kukaza ungekaza kabla huyo jamaa...