Recent content by FarAway

  1. F

    JamiiForums Wanawake wachangie huu uzi,wanaume watoe maoni kidogo sana itakapolazimika

    Hatakiwi ila inaweza kutokea na yeye akatamani
  2. F

    JamiiForums Wanawake wachangie huu uzi,wanaume watoe maoni kidogo sana itakapolazimika

    Tumejengewa na jamii kuwa ni jambo la kawaida kwa wanaume kuchepuka ama kuwa na wanawake nje ya ndoa pamoja na haka kamsemo "mwanaume kaumbiwa tamaa" naomba ladies wenzangu tuambiane ukweli juu ya hili hivi ni kweli wanawake hatukuumbwa na tamaa? Hivi ni ngumu au ni rahisi kiasi gani kwa...
  3. F

    JamiiForums Miaka kumi ya ndoa mume wangu hajali hisia zangu; Nimechoka!

    Ilikuwa balaa mwanzoni alikuwa vizur sana sasa amebadilika kabisa majukumu ya famili yalipoangezeka anashindwa kubalance afu mbishi hataki kuambiwa wala kukosolewa kweli anakwaza Yaan sex mpaka apate ham yeye cku mm nikijiskia nikimpapasa tu analala kifudifudi nyie mnasema tu hamjui naumia kias gan
  4. F

    JamiiForums Miaka kumi ya ndoa mume wangu hajali hisia zangu; Nimechoka!

    Hakuna atakayejua walau siku moja nione inakuwaje
  5. F

    JamiiForums Miaka kumi ya ndoa mume wangu hajali hisia zangu; Nimechoka!

    Walaa hana hata kosa mimi ndo nimependa mwenyewe
  6. F

    JamiiForums Miaka kumi ya ndoa mume wangu hajali hisia zangu; Nimechoka!

    Hiv unafikir sijaongea?? Tena ananijibu nawaza mapenzi tu cwaz maisha so hata kumwambia huwa najishtukia ila najikaza hivyohivyo namwambia tena kwa upole Nikijisexisha mbele yake ananiambia niache upuuz au anaingiza mada tofaut au anazua kaugomvi tu kunitoa kwenye mood hiyo
  7. F

    JamiiForums Miaka kumi ya ndoa mume wangu hajali hisia zangu; Nimechoka!

    Nimeshasema kunakaka mmoja job ananipenda so nnakaz
  8. F

    JamiiForums Miaka kumi ya ndoa mume wangu hajali hisia zangu; Nimechoka!

    Afadhal umenielewa tena najitahidi kumwongelesha kimahaba na mbwembwe zote za kimahaba mara nyingi ananijibu we unawaza tu mapenzi mambo ya maendeleo.. watu wanadhan nimekurupuka tu kuleta humu hawajui nimevumilia kiasi gani na nikisikia wanawake wenzangu wakisimulia mahaba wanayopewa natamani...
  9. F

    JamiiForums Miaka kumi ya ndoa mume wangu hajali hisia zangu; Nimechoka!

    Vumbi la kongo ndio nini?
  10. F

    JamiiForums Miaka kumi ya ndoa mume wangu hajali hisia zangu; Nimechoka!

    Umeona eeh! Yaan ni shida sasa mimi nifanyaje na nnahisia
  11. F

    JamiiForums Miaka kumi ya ndoa mume wangu hajali hisia zangu; Nimechoka!

    Hakuna kitu hata kabla hajaondoka alikuwa hivyo yaan anawaza maisha sana hadi hamu inamuisha
  12. F

    JamiiForums Miaka kumi ya ndoa mume wangu hajali hisia zangu; Nimechoka!

    Sina haja ya kuivinja ndoa..nataka tu kuipooza kiu yng
Back
Top Bottom